BrianaSingleton Ambaye ni Ex na Mzazi Mwenzie Rapa @richforever 🇺🇲 Amepata Ushindi Baada Ya #Rozay Kukubali Agizo la Mahakama la Kumlipa Mrembo Huyo Takribani $11K (TSH.MILIONI 25.4) kwa Mwezi
Pesa Hiyo Inatajwa Kuwa Ni Kwaajili Ya Malezi Ya Watoto Watatu Kwa Mzazi Mwenzake Huyo, Kwa Mujibu Wa Tovuti Ya #TMZ
Hayo Yote Yanakuja baada ya Mahakama Kugundua Kuwa Rapa Huyu Anaingiza Takribani $600k (TSH.BILIONI 1.3) Wakati Ex Wake Anaingiza $142 (TSH.328,000) Kwa Mwezi
Post a Comment