Ama kwa hakika hakuna aliyekamilika kwa wakati wowote ule. Kila mtu huwa na kasoro kwani maulana peke ndiye mkamilifu. Tuliishi na mume wangu na maisha yalikuwa ni mazuri kweli.alikuwa anafanya kazi ya katika wizara ya kiserikali mjini Kisumu ambapo alikuwa mweka hazina katika wizara ya maji kwenye kauti hii ya Kisumu. Ama kwa hakika mshahara wake ulikuwa maradufuu hali iliyofanya maisha yetu kuwa mazuri.
Mimi pia sikuwachwa nyuma kwani nilikuwa nafanya kazi ya ualimu katika kauti hiyo ya Kisumu. Hakuna lolote lililokuwa gumu kwenye ndoa yetu kwani hata wakati mwingine tulienda kurusha roho Mombasa kila tulipokuwa kwenye likkizo. Watoto wetu waliishi maisha ambayo yalikuwa ya juu kweli. Mitindo yote ya mavazi ilipotokea tulikuwa watu wa kwanza kuipata kwani hela zilikuwa maradufu. Kila baada ya miezi minne mume wangu alikuwa akibadilisha magari na kuwafanya watu wengi kwenye mtaa tuliokuwa tukiishi kutamania maisha yetu.
Siku zilivyosonga tabia ya mume wangu ilianza kubadilika sana. Alianza kuwa na tabia ya kutorudi nyumbani kila alipolipwa mshahara wake. Jambo hili lilinitia wasiwasi kama mke wake kwani nilikuwa nampenda zaidi na sikutaka jambo baya limtendekee. Hali ilikuwa imeanza kuwa gumu hata zaidi kwani ilikuwa ni vigumu mimi kusimamia kila kitu pale nyumbani ambapo mshahara wangu ulikuwa ni finyu kweli.
Baada ya siku kusonga nilifanya uchunguzi wangu na hapo nikagundua kuwa mume wangu alikuwa na mazoea ya kusalia kwenye madanguro na makahaba. Hali ile ilinipea wasiwasi kwani hata angeambukizwa magonjwa ya zinaa kama vile Ukimwi na mengineyo ambayo yalikuwa ni hatari kabisa. Kila mwisho wa mwezi alifunga simu yake.
Nilianza kuhangaika kulipa karo za watoto kwa kutumia pesa zangu. Nyumba na mahitaji mengine mimi ndiye nilikuwa nawajibika. Sikuwa tayari kuvumilia hali ile kwani nilikuwa nafinyika hata zaidi. Hali ilikuwa ile na ikapelekea yeye kuwa mtoro pale nyumbani.
Nilitafuta ushauri na usaidizi kwa daktari Kiwanga ambaye anilkuwa nimemsikia kupitia runinga kwamba alikuwa amesaidia wengi kusuluhisha shida za maishani. Nilichukua fursa ile kumpigia simu na nilipomwelezea masaibu niliyokuwa nakumbana nayo aliniambia kuwa nitembelee afisi zake baada ya wiki moja hivi kwani alikuwa na msururi wa watu waliotaka kusaidiwa. Baada ya wiki nilitembelea afisi zake mjini Kericho kwa ajili ya usaidizi.
CHAT BURE NA DR KIWANGA HAPA
Nilimwelezea yote yaliyotokea baada ya kunihoji kwa muda wa dakika arobaini hivi. Alininipa tembe ambazo alinishauri niziweke kwenye kitanda chetu na akanipa hakikisho kwamba mume wangu angerejea baada ya siku tatu au mbili hivi. Sikutilia shaka mabo yake kwani nilikuwa tayari nimeshuhudia uwezo wake wa miti shamba wa kusaidia waliokumbwa na shida mbalimbali maishani. Nilirejea nyumbani na nikafanya vile alivyokuwa amenishauri.
Nilikuwa na imani kwamba mume wangu angerejea nyumbani na kuhasi tabia yake ya kumaliza hela zote na makahaba kwenye madanguro. Baada ya siku tatu hivi nilipokuwa natoka kazini, nilishangaa punde tu nilipoingia kwenye lango la nyumba kwani niliona gari la mume wangu ishara tosha alikuwa amewasili.
Nilipoingia ndani ya nyumba nilimpata akiwa amenyenyekea ambapo alioniomba msamaha na kusema kuwa hangerudia tabia ile tena. Tangu siku ile mume wangu alikuwa mwaminifu na alihasi tabia ya kumaliza pesa zake madanguroni kila mara.
Daktari kiwanga anasuluhisha mambo kama kutokua na bahati maishani kwa kila jambo unalojaribu iwe ni biashara na kadhalika. Ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile kiharusi, msukumo wa damu na mengineyo kwa siku tatu pekee. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.
Post a Comment