Kati ya Rayvanny na Harmonize YUPI Anapesa Chafu



Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwa maana ya utajiri?

Kwasababu mwijaku huwa anasema waimbaji Tanzania wenye pesa ni diamond, alikiba, harmonize na jux. Hivi ni kweli hawa ndio wanaongoza kwa utajiri?

Na ukimchunguza mwijaku hao ni watu wake ingawa diamond hamfagiliagi so mnasemaje coz mimi binafsi naona wa kwanza ni mondi na wapili ni rayvan ingawa hapendi showoff coz juzi kati alinunuaga ghorofa tamu kinoma ila kapiga kimyaa, pia juzi kati kafungua mgahawa wake. Mbali na hao kuna nandy pia nasikia yupo vizuri sana.

Pia inasemekana Zuchu kwa sasa ana pesa kuliko huyo mmakonde anaeishi ofisini kwake pamoja na wasanii wake. Baada ya endorsement kuisha harmonize yupo choka mbaya anaungaunga. Naa mpaka juzi kati suala la kutokulipa kodi limemkuta.

Rayvanny ndio msanii mwenye pesa nyingi baada ya Mondi.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post