Je, Ni Halali Kumfananisha Ali Kiba na Diamond Platnumz?


Kumekua na utata, wa miaka nenda Rudi, Kati ya mashabiki wa @diamondplatnumz na mashabiki wa@officialalikiba.

👉 Mashabiki wa @diamondplatnumz wamekua ,wakisema @officialalikiba ,sio msanii wakumlinganisha na diamond, kwasababu Diamond, ameshafika mbali kimuziki, wanaamini kwamba alikiba ,sio level ya Diamond tenaa.

👉 Baadhi ya mashabiki wa diamond wanasemaa , diamond alinganishwe na wasanii wakubwa njee ya Tanzania Kama vile @davido @wizkid @burnaboy .

👉Wakati huo huo mashabiki wa @officialalikiba wamekua wakiamin ,kwamba ,alikiba ndio msanii mkubwa sanaa ambaye amedumu katika music industry kwa muda mrefu,bila kupotea kwenye game..

👉 Mashabiki wa alikiba wamekua wakimuita Diamond,sadara . Wanaamini kwamba sadara bado ni mchanga katika MUZIKI,japo anamafanikio makubwa..

DIAMOND NA ALIKIBA WANATOFAUTIANA VIPI???

1.Katika Mitandao ya kijamii

👉 Instagram, diamond anawafuasi million 13.2
Wakati, alikiba ana wafuasi million 7.3

👉 YouTube Diamond ana subscribers million5.68 , wakati alikiba ana subscribers million 1.09

UTAJIRI NA MAFANIKIO

👉Kwa data za tar.10july2021 diamond alikua na UTAJIRI wa dolla million 7.
Wakati alikiba ,utajir wake haukuwekwa wazi! Japo kuna data zinasema anautajiri wa Dola million 4.5.

👉Katika mafanikio,bila kukaa upande wowote tunaona Diamond platnumz ana mafanikio makubwa kuliko alikiba , kutokana na Mali za kifahari anazo miliki..na mafanikio ya nyimbo zake anazotoa tunayaona..

JE NI YAPI MAONI YAKO ????




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post