Huyu Hapa Boy Friend wa Rapper Rosa Ree Enzi Wapo Pamoja Shule ya Secondary


Kama ulikuwa hujui Msanii Rosa Ree na Boy Friend wake wa Sasa wana zaidi ya miaka 10 Wakiwa Pamoja, Unaambiwa Wamesoma Pamoja Secondary moja huko Kenya




Leo ni siku ya Kamanda huyo kuzaliwa basi Rosa Ree ameandika haya kupitia Instagram yake"
Reposted from @rosa_ree Happy birthday to the love of my life. You are my Light❤️ I have so much to say but I’ll show you instead. Can’t wait to grow old with you @king_petrousse 🥳


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post