Skytrax ambao huwa wanatangaza viwango vya ubora vya Mashirika mbalimbali ya Ndege kila mwaka duniani wametangaza Ndege bora kwa mwaka 2021 kwa kuzingatia huduma mbalimbali zinazotolewa.
1. Qatar Airways
2. Singapore Airlines
3. ANA All Nippon Airways
4. Emirates
5. Japan Airlines
6. Cathay Pacific
7. EVA Air
8. Qantas Airways
9. Hainan Airlines
10. Air France
Post a Comment