Katika mastaa wakike Tanzania waliofanikiwa kudate na Matajiri na Watu maarufu Tanzania Hamisa Mobetto pia hatuwezi kumsahau kwenye List.
Hamisa amezaa na Diamond Platnumz , amezaa na Majizzo, Mkurugenzi mtendaji wa Efm na Tve na inasemekana anadate na Fred Vunjabei.
Unaweza kuona Jinsi gani hamisa anapata bahati ya kudate na watu wazito Tanzania, ambao ni ndoto za kila Msichana. Hamisa anapataje Hizi fursa? Kama sababu ni ustaa mbona kuna wasichana mastaa zaidi kama kina shishi lakini hawapati hizi fursa. Mi nahisi hamisa ananyota kubwa sana, inayomfanya ashine kwa matajiri.
Uzuri wa hamisa tuuweke kando, ila pia anaakili, pale anapodate mtu hakubali amuache hivi hivi , lazima wapate mtoto, ili aendelee kupata child support hata kama ataachana na bwana wake. Hiki kitu wasichana wengi wanafeli, inabidi waige kutoka kwa hamisa.
Post a Comment