Dully Sykes "Wadogo Zangu Wakinipa Connection ya Nje Nikafanya Kazi na Burna Boy Mmekwisha"



Dully Sykes amefunguka mengi kuhusu muziki kwenye mahojiano katika kpindi cha Bonga na Star na kuweka wazi mengi ambayo wasanii wa sasa anatamani wafanye lakini wanashindwa kufanya japo wao ndio wanausogeza muziki mbele .

Kwenye mahojiano hayo Dully sykes amesema Wadogo zake katika muziki wakimpa connection za kufanya Kolabo na wasanii wa nje wamekwisha .

" kuna vitu natamani wadogo zangu wafanye lakini wanashindwa kufanya wamebaki kurumbana japo wao ndio wanausogeza muziki mbele kiukweli wadogo zangu waendelee tu kuninyima hiyo connection wakinipa Burna Boy nifanye naye Collabo wamekwisha" Alisema Dully Sykes .



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post