Wananchi wa kijiji cha Chita wilayani Kilombero Mkoani Morogoro wamewashambulia na kuwapiga watumishi wa Ardhi kutoka kanda ya Mtwara na Morogoro na kuchoma moto gari pikipiki na vifaa vya upimaji.
Tukio hilo limetokea Agosti 6 mwaka 2021 wakati maafisa Ardhi hao wak iendelee kitiki za majukumu yao ya kupima shamba la aliyekuwa Gavana wa benk kuu ya Tanzania BOT awamu ya nne David Ballali
akizungumza na wandishi wa habari RPC wa Mkoa wa Morogoro amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema hadi sasa wamekamatwa watu sita kufuatia tukio.
Post a Comment