Furaha ya @rayvanny kukaa namba moja on trending YouTube katika maudhui ya jumla imekatishwa ghafla na msanii @ibraah_tz , Rayvanny ambaye alikuwa nafasi ya juu akiwa na Whozu wimbo unaoitwa Chawa ametolewa kwenye nafasi hiyo na Ibrah aliyeingia na wimbo wake wa Jipinde.
Baada ya Rayvanny kumtoa @harmonize_tz on trending kwenye nafasi ya kwanza alishangilia na kujipa jina la Lecturer ikiwa na maana ya Rayvanny ni zaidi ya Harmonize anayejiita Teacher.
Rayanny aliandika👇
“LECTURER 😂😂😂😂😂😂 NUMBER UNOOOO 😂😂😂 FUKUZAAAAAAAAA CHAWAAAAAAAAA
So proud of you whozu_ 🔥🔥🔥🔥🔥🔥”
Kwasasa Lecturer bado haamini kilichotokea🙌
Post a Comment