Unaambiwa Hii Ndio Idadi ya Watu Waliokwisha Chanja Chanzo Tanzania


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi amesema kati ya watu 164,500 waliojiandikisha kupata chanjo ya Corona, 105,745 tayari wameshapata chanjo hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Prof. Makubi, hiyo ni tathmini iliyofanyika kuanzia Agosti 28 chanjo hiyo ilipozinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hadi kufikia jana Jumamosi Agosti 7, 2021.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post