Mwanamke Ashinda Mbio za Olimpics na Ujauzito wa Miezi Mitano




Yule Baby wako huku kwetu akiwa na ujauzito hata wa wiki mbili anaanza kusema hataki Ugali anataka Chips yai, mara hataki vitumbua anataka mayai.

Mara ohoo! Ujauzito waka hautaki mkae uswahilini muhamie Masaki, mara oooho hataki kabisa kusikia perfume yako😃

Huko nchini Japan kwenye OLYMPICS, Mwanamke wa Kimarekani Alysa Montana ana ujauzito wa miezi mitano, ameshinda mbio za mita 800 kwa Wanawake, amepeperusha bendera ya Marekani

Wewe ujauzito wiki mbili tu fujo😃


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post