Mtoto wa Diamond Platnumz Deelan anatimiza Miaka 4 Leo..Upande wa Baba Wamsusia




August 8,2017 mwanamitindo na msanii wa bongo flava @hamisamobetto alifanikiwa kupata mtoto wa kiume na msanii mwenzie,Diamond Platnumz aitwaye @dylandeetz na leo ni siku yake ya kuzaliwa.

Bahati mbaya tofauti za Hamisa na upande huu wa akina Mama Dangote umeenda hadi kwa Malaika Dylan.

Ni suala la kifamilia ambalo wengine tutabaki kuwa watazamaji tu ila sometimes inaleta maswali kwani huyu malaika kawakosea nini,Kwanini chuki isiishie kwa Hamisa tu ila mtoto akapata love ya baba,aunt na bibi.

Juzi ilikuwa birthday ya Tiffah,alianza kupostiwa hata kabla ya saa 6 usiku hadi leo ametawala yeye kwenye ukurasa wa Instagram wa bibi mtu😁 wakati Dylan akiwa benchi kusubiri huruma ya bibi.

Happy birthday @dylandeetz Mungu amtunze mama yako @hamisamobetto azidi kukupigania🙏.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post