“Majaribio ya kunitoa EFM yamefanyika mara mbili, jaribio la kwanza nilipolipata nikajadiliana na Majizo tukamaliza, lilipokuja la pili, mara hii nikamwambia Majizo akina Shadya wanatakiwa wasome lakini, tulielewana na akaniruhusu kwa kusema hapa ni nyumbani kwako”
“Tasnia ya habari iko katika mtazamo wa biashara kwa sasa, Majizzo alivyonichukua kwa mara ya kwanza ilikuwa ni kwa sababu za kibiashara hata kule nilipoenda ilikuwa ni kwa sababu hiyo hiyo ya biashara, kuhamahama huku ni jambo la kawaida, watu wanatafuta maslahi”
Post a Comment