Kwenye mahusiano yangu me siwezi kulaumu kitu chochote, nadhani ni mahesabu tu ya Dunia, tumeenda tulivyoenda na mwisho wa siku tumepasuka tulivyopasuka! Binafsi sikuona kama iko haja ya kumtafuta mchawi”
“Ningekuwa na nafasi ya kurudi nyuma na kubadilisha kitu kwenye mahusiano yangu, nadhani ningebadili system ya kufanya maamuzi, ningekuwa kauzu, pengine nisingeruhusu ndoa ifungwe kwa wakati ule!” -@iambenpol akijibu swali la @kenedytheremedy kwenye #BongoFlevaYaCloudsFM lililohoji kuwa angepewa nafasi ya kurudi nyuma kwenye mahusiano yake na @anerlisa ni kipi angebadilisha!? •
Post a Comment