Nguli wa Zamani wa Soka na Mchambuzi Mahiri wa Maswala ya Mpira wa Miguu , Ally Mayai Tembele, amesema kwamba Mchezaji @realclatouschama alitakiwa asome alama za nyakati kabla ya kuongea aliyoyaongea kupitia Instagram Live (Kumsifia Haji Manara )siku Moja iliyopita .
Ally Mayai anadai kuwa tayari kulikua na Kutoelewana baina ya Manara na Mo Dewji, hivyo Chama kama Mchezaji hakutakiwa kuongelea swala hilo kwa kupindi hiki ambacho bado kuna Vuguvugu .
Je, unakubaliana nae Katika hili ?
Read More: Nafasi za Ajira Serikalini na Mashiriki Binafsi Nimekuwekea Hapa
Post a Comment