Wanariadha wa Namibia, Christine Mboma na Beatrice Masilingi wameondolewa katika mashindani ya mbio za Olimpiki za wanawake kutokana na kuwa na homoni nyingi za kiume .
Wanariadha hao wamezaliwa wanawake na wanajinsia ya kike kwa kuzaliwa lakini wanahomoni za kiume kitu ambacho kitaalamu ni kitu cha kawaida mtu kuwa na "differences of sex development" .
Wanariadha hao walikuwa wanataka kushindana katika mbio za Mita 400 .
Je, kwa Maoni yako unadhani maamuzi Haya ni sahihi ?
Post a Comment