Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua chanjo ya COVID19 jana Julai 28, 2021 kwa yeye na viongozi wengine kuchomwa, wizara ya afya imetangaza utaratibu wa kutoa chanjo hiyo kwa wananchi.
Hata hivyo wizara imeeleza kuwa awamu ya kwanza ya utoaji wa chanjo unalenga kundi la watoa huduma za afya katika vituo vyote vilivyopo mkoa wa Dar es Salaam, na zoezi litafanyika katika vituo 15.
Kufanikisha zoezi hilo wizara imewaagiza waganga wakuu wa halmashauri kuwasajili watumishi wa afya walio tayari kwa hiari waweze kuchanjwa. Taarifa za mtumishi zinatakiwa kuonesha jina, cheo cha muundo na kama ana magonjwa mengine ya kudumu.
Vituo vitakavyotumika ni;
Post a Comment