Uvumi wa Karrueche Tran Kurudiana na Chris Brown..Karrueche Tran Afunguka


Uvumi wa Karrueche Tran kurudiana na Chris Brown ulishika vichwa vya habari duniani wikendi iliyopita, hii ni baada ya wawili hao kuonekana wakiondoka pamoja katika eneo la Six Flags Mountain mjini Los Angeles.

Wengi walisema huwenda Chris Brown amerudiana na mrembo huyo ambaye amekuwa akimuhusudu kwa muda sasa. Muda huongea na Karrueche Tran akaamua kuifata kauli hiyo kwa kukanusha uvumi huo kupitia ukurasa wa The Shade Room hapa instagram. Aliandika;

"Kulikuwa na hafla hapo Six Flags kwa ajili ya filamu ya 'Space Jam' pia kulikuwa na watu wengine wengi." ----- aliandika Karrueche akimaanisha kwamba alifika pale kama miongoni mwa watu maarufu ambao walialikwa kutazama filamu ya Space Jam: A New Legacy.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post