Unaambiwa AMBER Lulu Ajitokeza na Kumtetea Paula "Mwacheni Mtoto wa Watu Awe Huru"

  


Pitia ukurasa wake wa Instagram, Instastory, AmberLulu ameshare ujumbe unao sema paula kwa sasa ni mkubwa mwenye umri wa miaka 19, anahaki ya kuwa na mwanaume, pia anajielewa na amesoma.


Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA

Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPA

Nafasi za Internships Bonyeza HAPA



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post