Uganda: Wahudumu wa AFYA Mbaroni Kwa Kuchoma Watu Chanjo Feki ya Corona


Wahudumu wawili wa Afya wanashikiliwa na Polisi nchini #Uganda kwa tuhuma za kuchoma watu takriban 800 chanjo feki ya Corona mnamo mwezi Mei

Operesheni ya Polisi iliyofanyika Juni 17, 2021 ilifanikiwa kuwakamata Manesi hao wakiwa na kitabu kilichokuwa na majina ya wote waliochomwa chanjo hiyo pamoja na Namba za Utambulisho na Mihuri ya Mamlaka za Jiji la Kampala

Waliochomwa chanjo hiyo walilazimika kulipa kati ya Tsh. 65,000 na 130,000. Baadhi ya watu waliochomwa chanjo hiyo warifariki katika Wimbi la Pili la #COVID19




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post