Tume yaundwa kuchunguza chanzo cha moto Kariakoo



Kufuatia kuungua moto Soko la kimatiafa la Kariakoo Jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, Serikali imeunda tume kuchunguza chanzo cha moto huo ulioteketeza maduka zaidi ya mia nne yalioko katika jengo la Soko hilo maarufu.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post