Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu amenukuliwa mara mbili akiwa bungeni akiishauri Serikali kuweka tozo kwenye miamala ya simu
Juni 14, 2016 aliongea haya Bungeni:
Miamala ya simu ni mikubwa hadi kufikia Tsh. Trilioni 50 kwa mwaka hivyo ni vyema kuwa na kodi ya uzalendo
Waheshimiwa Wabunge tusiwe na tabia ya kizamani ya kuona tukilipa kodi watu wanaumia, bila kodi Serikali hii haichapishi noti
…kodi hii naiunga mkono, Serikali iendelee na kodi zingine na kukamata mapato kwenye simu, we are losing a lot of revenue kwenye maeneo haya
Post a Comment