Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero, Mhandisi Robert Magogo amesema ni kweli Daraja la Mto Mngeta limetumia Tsh. Milioni 31
-
Mhandisi Magogo amesema daraja hilo lina uwezo wa kudumu kwa miaka 10 hadi 15. Daraja hilo lina urefu wa Mita 40, na kufanya gharama za Daraja kuwa Tsh. Milioni 27
-
Pia, gharama ya barabara kuingia na kutoka Darajani ni Tsh. Milioni 4 na kufanya jumla yake iwe Tsh. Milioni 31
#JamiiForums
Post a Comment