Tanzia: Msanii Kissinger wa Wana Njenje Afariki Dunia




TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, msanii nguli wa Muziki nchini, Waziri Ally Kissinger wa The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam wakati akipatiwa matibabu.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post