Shura ya Maimamu Tanzania imetoa tamko la kuwataka Polisi kuwaachia bila masharti viongozi na wanachama wa CHADEMA waliokamatwa Mwanza wakijiandaa kushiriki Kongamano la Katiba Mpya
Shura ya Maimamu wamesema kukamatwa kwa Viongozi ni kiashiria kuwa Jeshi la Polisi linaendeleza hujuma dhidi ya wananchi kwakuwa haki ya kukusanyika na kutoa maoni ni haki ya Kikatiba
Aidha wameshauri Vyombo vya Dola ikiwemo Polisi kutoendeleza vitendo vya ukiukwaji Haki za Kiraia na kukandamiza Uhuru wa watu Kujieleza
Post a Comment