Moja Kati ya Mengi kutoka kwa moja ya Viongozi wa label ya @wcb_wasafi Sallam SK @sallam_sk amezunngumza katika Semina ya Wasanii visiwani Zanzibar amewaambia wasanii kama kuna jambo linahitaji kufake ili likufikishe mahali basi usiogope kufake
Sallam SK ameenda mbali zaidi na kutoa mfano kuwa Msanii @diamondplatnumz kipindi Cha nyuma aliongoza kwa kuvaa cheni fake ili kujiweka tofauti lakini kwa sasa anavaa Hadi Cheni zenye thamani zaidi ya Milioni 100
Post a Comment