Ripoti ya BOT yasema taratibu zilifuatwa

  


Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Julai 1, 2021 amepokea taarifa ya ripoti ya ukaguzi wa fedha zilizotoka kati ya Januari na Machi 2021, katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT). 

Ripoti hiyo imebaini fedha zilizotolewa zilifuata taratibu zote, isipokuwa baadhi ya malipo yaliyotoka Hazina Kuu kwenda taasisi mbalimbali za serikali.

Rais Samia alitoa agizo hilo Machi 28, 2021 wakati akipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post