Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania (rayvanny ) Amefunguka kuwa WCB na Hamisa Mobeto Wapo Sawa Tofauti na Watu Wanavyo Zungumza Uko Nje.
"Sisi Kama WCB Hatuna Tofauti Yoyote na (mobettohtothetop ) Tunamchukuli kama Shemeji Yetu Tuna wasiliana Nae Kama kawaidi Hatuna Ugomvi Kama Mnavyozungumza Huko Nje"-Ameongea (rayvanny )
Post a Comment