Ray C Awatema Wasanii wa Kizazi Kipya, Rosa Ree Amuunga Mkono

 


Ray C, zamani maarufu kama kiuno bila mfupa ameweka wazi list ya ngoma zaidi ya 20 ambazo ameziita "Greatest Hits za Bongo Flava Milele" huku akiwatema wasanii wa kizazi kipya kwenye orodha hiyo.

List ya Ray C imetawaliwa na nyimbo na wasanii wa zamani wa Bongo Fleva kama AY, Mwana Fa, Alikiba TID, Jay Moe na wengine kibao, huku ikiungwa mkono na Rapper Rosa Ree kwa kusema "zamani ndio kulikua na muziki aisee siku hizi the art in music is diluted, so much respect for everyone on this list".

Tazama list kamili





0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post