NI Headlines za Mkali wa Hip Hop, Shawn Corey Carter maarufu kama Jay-Z time hii ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuonekana akiwa amevaa saa yenye thamani ya Dolla ($3 million) ambayo kwa pesa ya kitanzania ni sawa Bilioni 7.
Staa huyo alionekana akiwa na saa hiyo Jumapili iliyopita Julai 4 katika sherehe ya mfanyabiashara aitwae Michael Rubin pamoja na watu wengine maarufu waliohudhuria hafla hiyo akiwemo Beyonce, Travis, J Balvin Quavo.
Post a Comment