Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amejisalimisha polisi
tayari kuanza kutumikia adhabu ya kifungo cha miezi 15 jela aliyopewa na Mahakama ya Katiba kwa kosa la kudharau mahakama. Zuma alijisalimisha jana baada ya polisi kusema wangemkamata kabla ya siku kuisha.
Post a Comment