Queen Darleen Anasema alilazimika kuwachapa Viboko @diamondplatnumz na @romyjons pale ambapo walikuwa wanajishugulisha na Muziki Darleen anadai alikuwa anafanya hivyo kwasababu alikuwa hataki wadogo zake aharibikiwe kwasababu kipindi hicho muziki uliaminika ni uhuni .
Post a Comment