Baada ya kushikiliwa kwa takribani siku mbili, Jeshi la Polisi limesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anakabiliwa na tuhuma mbalimbali ikiwemo za kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi na kuua viongozi wa Serikali ambapo wenzake sita walishafikishwa mahakamani.
Polisi: Mbowe Anatuhumiwa Kula Njama za Kufanya Vitendo vya Ugaidi
bymafekeche
-
0
Post a Comment