Mdau Ameandika 👉"🖐Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni Derby Ya Awamu Hii haikuwa na Hamasa Kabisa Sababu Ya Huyu Jamaa @hajismanara Kwa Vile Anamatatizo Derby imeonekana Ya Kawaida Tu
Jamaa Anamchango Mkubwa Sana Kwenye Soka Letu Mie Yanga Lakini Namkubali
Simba Mkimpoteza Huyu Jamaa ItawaCost Sana Sana Na Kuvuka Hatua Ya Makundi Ligi Ya Mabigwa Afrika Hamtavuka Tupo Hapa🤗 Mtafutana Mchawi nani Na Mtatimuana 😃 Hata Huyo Mo Boss Wenu Atawakimbia 💪 "
Post a Comment