Nandy Afunguka "Namtakia Maisha Mema"

 


Mwanamziki Maarufu Hapa Tanzania Nandy Ambaye Yupo kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Mwanamziki wa Hip Hop Billnass, Nandy Amefunguka kumtakia Maisha mema Billnass

"Watu Mlizoea Kutuona Na Billnass Ila kwa Sasa Amepotea Machoni Pangu na Pia Namtakia Maisha Mema Huko Aendako"-Ameongea NANDY



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post