Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Twitter Wa @mwijaku Ameandika.....''Nguvu unazo tumia ungeielekeza kwenye ibada na kumnyenyekea Mungu . Ungekua katika daraja zuri . Ila dunia inakuhadaaa na unajisahau . Tusubirie tuone kama hilo gari litakupa msaada wowote akheraa ..! #PepoSioKwapa #RudiKwaAllah #AchaKuvaaMsalaba ''
Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA
Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPA
Post a Comment