Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo ametupa jiwe gizani kwa Marais Waliopita.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo ametupa jiwe gizani kwa Marais Waliopita.

Akihojiwa na Star TV amesema "tuwe waangalifu katika kuchagua muwe mnafuatilia Rekodi, huko nyuma tulichagua Watu ambao walishakwenda kutibiwa Hospitali za Vichaa mtu ana Rekodi ya Milembe halafu mnamuachia Nchi"

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post