Mwanamuziki @diamondplatnumz akiwa katika Picha ya Pamoja na Gwiji wa Biashara ya Muziki nchini Marekani , Abou 'Bu' Thiam (@__bu ) ambae ni Meneja wa @kanyewest .
Bu Thiam ni kaka wa Mwanamuziki @akon ambae alichangia kwa kiasi kikubwa kumtoa kimuziki, Lakini Pia aliweza kumtambulisha @tpain na kumfanya kuwa Mwanamuziki mkubwa .
Katika Maswala ya Management, Bu aliwahi kuwa Meneja wa @chrisbrownofficial , Lakini Pia Makamu wa Rais (Vice President) wa Lebo Kubwa ya Muziki ya @defjam na kwasasa anasimamia kazi za Rapa @kanyewest .
Post a Comment