Mtoto wa Monalisa Apata Division 1, Mama Ake Afunguka Haya kwa Uchungu


Reposted from @monalisatz Haleluya, Mungu wangu ni mwema.
Ahsante Mungu wangu.
Ahsante mwanangu @soniamonalisa kwa kutupatia matokeo mazuri, tangu mchana nilipopata matokeo sijielewi elewi yaani maana najua wakati mgumu uliopitia kipindi cha mitihani. Ilikuwa ni mtihani mkubwa lakini yote ni shetani na ameshindwa in Jesus name.

Ahsante walimu wote wa TUSIIME kwa miaka 6 ya bidii.
Ahsante pia @globaleducationlinktz kwa kuwa nasi mwaka wa mwisho wa masomo ya binti yangu.

Division 1 safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post