Mtangazaji wa Zamani wa Ayo tv Asteria Mvungi amefunguka Mengi ambayo watu hawafahamu kuhusu yeye moja ikiwa kwanini aliacha kazi Ayo Tv na mengine mengi kuhusu maisha yake .
Kupitia akaunti yake ya instagram ameeleza aliamua kuacha kazi kwa sababu zake binafsi kitu ambacho ata ndugu zake hadi wazazi wake walitamani aendelee kufanya kazi aliendelea kwa kusema alikuwa anajiskia furaha sana kufanya kazi chini ya @Millardayo .
Asteria pia ameweka wazi kuwa amewahi kuwa na mahusiano na @daimondplatnumz akidai alishindwa kuendelea naye sababu alizozitaja ni Mwanamuziki huyo kutokutulia na wengi kumuhitaji kimapenzi, Hii imepelekea kuibua hisia na kushangazwa kwa wengi na mashabiki zake kumsihi ni bora asingeweka wazi .
Post a Comment