Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, ameitaka CHADEMA kutoa maelezo ya kina kwanini iliwafukuza Wanachama wake 19 ambao ni Wabunge wa Viti Maalum
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Benson Kigaila, amesema wamepokea barua kutoka kwa Msajili baada ya Wabunge 19 wa Viti Maalum kutoa malalamiko
Amesema hawawezi kutoa maelezo kwa Jaji Mutungi kwakuwa ni kinyume cha utaratibu wa Chama
Post a Comment