Mkubwa Fella: Mwijaku akaguliwe Uraia





Meneja wa Diamond, Mkubwa Fella akiongea na WasafiTV amemtishia Mwijaku kumkagua Uraia wake kutokana na Kitendo chake cha kushangilia baada ya Diamond kushindwa kwenye Tuzo za BET akidai Mwijaku ameonyesha Chuki na sio Ushabiki
Fella, amesema Watanzania hawana Roho ya Chuki, watu wenye Chuki kama ile wanatakiwa wakaguliwe Uraia wao ili kuwajua kama ni Watanzania au Wakimbizi.

Aidha, Fella amedai ana Kazi nyingine tofauti na Kazi ya Udiwani na Muziki, amedai anafanya Kazi nyingi sana za Siri alizopewa na Serikali lakini hataki tu kuziweka wazi ili Kulinda Amani Nchi.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post