Mke wa aliyekuwa Rais wa Haiti Jovenel Moïse Aliyeuawa Jana Nae Afariki Dunia


Mke wa aliyekuwa Rais wa Haiti Jovenel Moïse (aliyeuawa jana kwa shambulio), Bi. Martine Moïse na yeye amefariki Dunia jioni ya jana Julai 7, 2021 akiwa na miaka 47 kufuatia majeraha mengi na makubwa mwilini mwake na madaktari kushindwa kuokoa maisha yake kutokana na shambulio alilofanyiwa yeye na mumewe katika makazi yao.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post