Huyu kaka anaitwa Alex alikuwa mtu freshi Sana Ila ndio amefanya mauaji leo sinza kwa remmy -bar inaitwa Lemax
Walikuwa wakinywa pombe kwa pamoja Lemax Bar Sinza Makaburini wakaanza kubishana .
Kijana amemwambia usituonyeshe silaa bwana
Jamaa akajibu kwani yako.... kumbe jamaa amemaind na jana yake alikuwepo tena na wakamchamba wakamwambia tumekushitki polisi unatutishia na pastola yako
Si ndio jamaa akapaniki .....
Na anaonekana Ni mgeni na Silaha akafanya kweli akampiga mwenzake risasi 3 na yeye nakajipiga risasi wakafa wote 🤦
Wengi wetu tumeona video na picha zilizosambaa za tukio la Mtu kupigwa risasi akiwa Baa Sinza kwa Remi Dar es salaam usiku wa July 17 2021.
Kwa mujibu wa shuhuda ambae pia ni Rafiki, Kijana aliyepigwa risasi na kufariki anaitwa Gift na alikua amekaa jirani na Alex na alisimama kumtuliza Alex baada ya kuona ameanza kutishia Watu kwa bastola yake, amesema Shuhuda huyu.
“Gift ni Kijana mwenzangu tukifanya kazi Ofisi moja, alikua ana muomba Alex asipige risasi kama vile na kupoteza amani, yani kitendo cha Gift kumsemesha yule Jamaa imekua kama kosa aligeuka akammiminia Gift risasi nyingi kama mbuzi, Gift kuona vile akakimbia lakini akaishiwa nguvu hatua chache tu”
“Tulishindwa kutoa msaada kwa Gift kwasababu Jamaa mwenye Bastola (Alex) alikua kama amevurugwa Shetani kama amemuingia anageuka anaangalia nani mwingine ampige risasi…………..”
Post a Comment