Mara baada ya Serikali kuanza kukusanya Tozo ya Miamala, mamilioni ya Wateja wameachana na Miamala ya Mtandaoni suala ambalo limethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi
Hisham amesema Wateja wengi walioamua kuacha kufanya miamala kwenye simu ni wa Vijijini ambapo wamefanya hivyo mara baada ya tozo kuanza
Post a Comment