Staa wa Bongo Fleva Lulu Diva ameeleza namna anavyofurahishwa na muziki wa Bongo Fleva ulivyochangamka sio watu wanasubiria msanii mmoja atoe wimbo ila ulivyochangamka ndio sahihi.
Mbali na hilo Lulu Diva amekataa kuzungumzia sakata lake na Lavalava ambapo Lavalava alieleza kuwa hakufanikiwa kulala kutokana na kumpenda Lulu Diva lakini Lulu Diva mtandaoni alimjibu shabiki kuwa Lavalava hakulala labda huenda aling’atwa na mbu hakupulizia dawa au kutumia net.
Haya ndio majibu yake baada ya kuulizwa swali hilo.
Post a Comment