YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi inatarajiwa kumenyana na Simba leo Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00.
Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo dhidi ya Simba:-
Farouk Shikalo
Abdalah Shaibu
Adeyum Saleh
Kibwana Shomari
Bakari Mwamnyeto
Kibwana Shomari
Fei Toto
Deus Kaseke
Yacouba Songne
Said Ntibanzokiza
Tuisila Kisinda
Post a Comment