LEO Julai 3, majira ya saa 11:00 kunatarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Huu ni mchezo wa ligi ambapo Simba ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes imeweka wazi kwamba inahitaji pointi tatu muhimu
Hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza leo mbele ya Yanga namna hii:
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Joash Onyango
Pascal Wawa
Mohamed Hussein
Luis Miquisson
Taddeo Lwanga
Mzamiru Yassin
Clatous Chama
Chris Mugalu
John Bocco
Post a Comment