Msanii Mkalii kutoka Nigeria... Burna Boy Aonesha Gari yake ya Kifahari Aina ya Rolls Royce...Hii inasemekana kuwa amemjibu Mondi kwa jinsi alivyojioneshea mpaka ikawa gumzo sana...Magari haya kwa sasa wanamiliki Davido... Diamond Platnumz na Mengine wachache.
Post a Comment